Tazama jinsi gani hizi timu ( Arsenal & Chelsea ) zilivyo katika wakati mgumu kwenye makundi yao ya UEFA kabla hazijaingia uwanjani kupambana usiku wa leo na wapinzani wao huku chelsea wakitaraji kuwashinda wapinzani wao Shalke kiurahisi wenzao Arsenal wako kwenye wakati mgumu watakapokuwa na kibarua kizito cha kupambana na vijana wa ujerumani Borussia Dortmund ambapo kila mmoja anahitaji ushindi ili kujihakikishia nafasi katika kufuzu hatua ya mtoano.
Tazama ni jinsi gani timu hizi zilivyo kwenye wakati mgumu ndani ya group zao za UEFA ![]() |


No comments:
Post a Comment