--------------------------------------------------------------------------------------------------
Kushoto mwenye jezi nyeupe Awadh Issa aliesajiliwa na simba akitokea mtibwa sugar.
Pia klabu hii ya simba imezid kujiimarisha kwa usajili wachezaji wawili walioko kwenye kambi ya timu ya taifa ya Zanzibar Heros inayojiandaa na michuano ya Cecafa Challenge Cup.Wachezaji hao ni kiungo mshambuliaji Awadh Issa 'maniche' aliyejuwa timu ya mtibwa sugar na mshambuliaji Badru Ally aliyekuwa timu ya Canal Suez ya Misri.Wachezaji wote hawa Awadh & Badru Ally wamesaini mkataba wa miaka miwili kila mmoja.

No comments:
Post a Comment