--------------------------------------------------------------------------------------------------
 |
| Fatuma Bawah |
Aliyekuwa mshambuliaji wa Sayari Queens na Twiga Stars bawah amezikwa leo saa 7 mchana katika mkoa wa Mwanza.Fatuma enzi za uhai wake alishawahi kuibuka mfungaji bora kwenye michuano ya mwaka huu 2013 ya Airtel Rising Stars u-20, 'mungu ailaze roho ya marehem pema peponi amini'
No comments:
Post a Comment