Thursday, November 7, 2013

AZAM NA MBEYA CITY ZASHINDWA KUTAMBIANA NA KUTOKA SARE YA 3-3

  --------------------------------------------------------------------------------------------------
 Wachezaji wa Mbeya City wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Azam FC. 
  ----------------------------------------------------------------------------------------------------
Baadhi ya mashabiki wa mbeya city wakishangilia timu yao baada ya mchezo kuanza
  ----------------------------------------------------------------------------------------------------
 Golikipa wa Mbeya City, David Buruan akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Azam FC unaoendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment